Muda umewadia, mabingwa wa nchi Simba wanashuka dimba la Benjamin Mkapa kuwakabili watani zao Yanga katika mchezo muhimu wa ligi kuu ya Vodacom
Matokeo ya ushindi dhidi ya Yanga, yatawahakikishia Simba ubingwa wa nne mfululizo
Kocha Didier Gomes amechagua kuanza na kikosi hiki;

ADVERTISE HERE