Msimamo baada ya mzunguuko wa 21 kukamilika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Mar 2018
Msimamo baada ya mzunguuko wa 21 kukamilika
Azam FC imechupa mpaka nafasi ya pili baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC jana.

Matokeo hayo yameifanya ifikishe alama 41 na hivyo kuiondosha Yanga yenye alama 40.

Yanga itacheza na Kagera Sugar leo huku pia ikiwa na mchezo wa kiporo dhidi ya Mtibwa Sugar.

Mchezo wa Simba uliokuwa upigwe keshokutwa Jumapili ugenini dhidi ya Njombe Mji umeahirishwa ili kuipa nafasi Simba kujiandaa na mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry.

Simba inaendelea kubaki kileleni ikiwa na alama 46, ikiongoza kwa tifauti ya alama tano mbele ya Azam FC.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’