Saa 11 jioni mabingwa wa nchi Simba watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili watani zao Yanga katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Simba imemtangaza Waziri wa Maji Mh Juma Aweso kuwa mgeni rasmi wa mchezo huo
Ni mechi ya kibabe ambayo Mnyama anahitaji ushindi ili kutwaa ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo
Mh Aweso atawaongoza malfu ya mashabiki wa Simba ambao wanatarajiwa kufurika kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mtanange huo
ADVERTISE HERE