Mwanamsimbazi unakosaje uwanja wa Benjamin Mkapa kuwa sehemu ya historia itakayoandikwa leo?
Kama huna tiketi bado hujachelewa, changamka mapema asubuhi katika vituo vilivyoainishwa kujipatia tketi yako
Mtanange unapigwa kuanzia saa 11 jioni, leo hakuna pa kukimbilia kwani wakishaingia tu, mageti yote yanafungwa na yule dereva wao atanyang'anywa funguo
Hivyo hakuna wasiwasi, mtanange utapigwa leo...!
ADVERTISE HERE