Tuzo ya heshima kwa Mzee Makamba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Jul 2021
Tuzo ya heshima kwa Mzee Makamba

Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba imempa tunzo Mzee Yusufu Makamba Mwanasimba kindakindaki, aliyewahi kuwa Mkuu wa mikoa ya Kigoma, Tanga na Dar es salaam ambaye pia ni Baba mzazi wa Mh Januari Makamba (MB)

Simba imemtunza Makamba kwa kutambua mchango wake wa klabu hii yenye historia ya kipekee

"Kwa niaba ya klabu ya Simba, ni heshima kukabidhi tuzo kwa mtu mwingine muhimu sana kwenye maendeleo ya klabu Mzee. Yusuf Makamba"

"Tunafurahi sana kuona watu muhimu kwenye jamii wakiendelea kuishika mkono klabu yetu, japo sikuweza kumkabidhi tuzo hii binafsi, ila nimefarijika kusikia Mzee Makamba akikumbukia enzi zao kwenye klabu," ilisema taarifa ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mo Dewji

Aidha Makamba ameushukuru uongozi wa Simba kwa kumkumbuka na kutambua mchango wake

"Nashukuru kwa heshima hii mliyonipatia Simba na asante sana Mo Dewji kwa kazi nzuri unayofanya Simba na jinsi ulivyojitolea, naiombea Simba ushindi siku ya Jumamosi"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’