Tumekamilisha maandalizi ya ushindi - Gomes

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Jul 2021
Tumekamilisha maandalizi ya ushindi - Gomes

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amesema kikosi chake kiko tayari kuwapa furaha ya ubingwa mashabiki kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga utakaopigwa kesho Jumamosi uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba wakiwa wenyeji wa mchezo huo, wanahitaji alama zote tatu ili kutwaa ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo

Gomes amesema amewafuatilia Yanga katika michezo nane iliyopita, anafahamu aina ya mbinu ambazo atatumia kupata ushindi

"Nimezitazama mechi zao nane za karibuni hivyo kuna vitu tumeviona ambavyo tunaamini vitatusaidia kupata ushindi, tunajua mechi itakuwa ngumu lakini tupo tayari kupambana," amesema Gomes

Aidha Gomes amesema hawezi kuwabeza Yanga kwani wanao wachezaji wazuri hata hivyo kikosi chake ni bora zaidi na wana kila sababu ya kushinda mchezo huo

"Kuna wachezaji Yanga wana uwezo mkubwa lakini hatutaingia kwa kuangalia mchezaji mmoja mmoja badala yake tumejipanga kuikabili timu nzima"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’