Jeshi la Polisi laimarisha ulinzi dabi ya Kariakoo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Jul 2021
Jeshi la Polisi laimarisha ulinzi dabi ya Kariakoo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, limeimarisha ulinzi kuelekea mchezo mkubwa wa nchi unaozikutanisha timu za kihistoria Simba na Yanga

Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi uwanja wa Benjamin Mkapa

Kamanda Muliro Jumanne amewataka mashabiki watakaoelekea uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mchezo huo, kufuata maelekezo yaliyotolewa na Jeshi hilo

"Yeyote ambae ataingia uwanjani kwenye mechi ya Simba na Yanga July 3 hatakiwi kwenda na silaha kama bunduki, kisu, panga au jiwe lakini pia chupa za aina yoyote zimepigwa marufuku"

"Pasipokuwa na sababu ya lazima Watoto wadogo wasiende uwanjani, pia magari yote yatakayoruhusiwa ni yale yenye vibali maalum na yataelekezwa maeneo ya kupangwa," alisema Kamanda Muliro

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’