Mchezo dhidi ya KMC warudishwa kwa Mkapa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Jul 2021
Mchezo dhidi ya KMC warudishwa kwa Mkapa

Mabingwa wa nchi Simba wiki hii wanaweza kuwa wanakamilisha ratiba ligi kuu kama watashinda mchezo dhidi ya Yanga siku ya Jumamosi

Ndio, Mnyama anahitaji alama tatu tu kutangaza ubingwa wa nne mfululizo kufikia rekodi yake aliyoweka mwanzoni mwa miaka ya 80

Baada ya mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa Julai 03, Mnyama atashuka tena dimbani Julai 07 kuikabili KMC

Habari njema ni kuwa mchezo huo ambao awali ulipangwa kupigwa uwanja wa CCM Kirumba, sasa utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam

Katibu Mkuu wa KMC Walter Harrison amethibitisha kuwa wameurudisha mchezo huo uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya kuwakabili KMC, Mnyama atarudi tena kwa Mkapa Julai 10 kuikabili Coastal Union kisha kuelekea kule Chamazi ambako Julai 14 ataikabili Azam Fc

Mnyama atamaliza msimu kwa kuumana na Namungo Fc Julai 18 hapo hapo kwa Mkapa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’