Winga Bernard Morrison amechaguliwa mchezaji bora wa klabu ya Simba mwezi Juni 2021
Ni baada ya kupigiwa kura kwa wingi na mashabiki wa Simba
Morrison atakabidhiwa kitita cha Sh 1,000,000 kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminium Profile ambao walianza kutoa tuzo hiyo tangu Februari mwaka huu.
Mchanganuo wa kura Idadi ya kura zilizopigwa 9,356 Morrison amepata kura 6,697 sawa na asilimia 72 Luis amepata kura 1,978 sawa na asilimia 21, Bocco kura 681 sawa na asilimia saba.
ADVERTISE HERE