Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 21 kati ya Njombe Mji dhidi ya Simba uliokuwa upigwe Jumapili, March 11 kwenye uwanja wa Sabasaba, Njombe sasa utapangiwa tarehe nyingine ili kuipa Simba nafasi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry utakaopigwa nchini Misri, March 17.
ADVERTISE HERE