Hayo ya Miquissone ni uzushi tu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jun 2021
Hayo ya Miquissone ni uzushi tu

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki kupuuza uzushi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kumuhusu winga Luis Miquissone

Manara amesema Miquissone ana mkataba wa muda mrefu na klabu ya Simba, haendi popote

"Kuna watu wanasambaza taarifa kwenye mitandao kuwa Luis Miquissone anaenda Yanga eti Manji karudi huu ni uzushi mtupu, Miquissone ana mkataba na haendi popote," alisema Manara

Uzushi huo ulianza kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii jana lengo la wanaosambaza wakidhani wanaweza kuivuruga Simba kuelekea mchezo wa Jumamosi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’