Tiketi kuelekea mchezo dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi, Julai 03 uwanja wa Benjamin Mkapa, zimeanza kuuzwa
Kuna tiketi takribani 13, 782 ambazo zitauzwa kwa mashabiki hivyo kama hukukata tiketi katika mchezo wa May 08, changamka
Aidha, kwa walionunua tiketi awali, wao hawahitaji kukata tena, wanapaswa kwenda uwanjani na kadi zao tu
ADVERTISE HERE