Kikosi cha Simba kimeendelea kujifua Bunju leo kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga
Mchezo huo unaoweza kuamua ubingwa wa Simba mapema, utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jumamosi, Julai 03 2021
Mshambuliaji Chris Mugalu ni miongoni mwa wachezaji walioshiriki mazoezi hayo baada ya kupona majeraha









ADVERTISE HERE