Manara ashangaa Mkude kuachwa Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Mar 2018
Manara ashangaa Mkude kuachwa Stars
Mkuu wa Idara ya habari ya Klabu ya Simba, Haji Manara ameeleza kushangazwa na kitendo cha kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kutolijumuisha jina la kiungo Jonas Mkude kwenye timu ya Taifa.

Mayanga leo ametangaza majina ya wachezaji 23 wa timu ya Taifa watakocheza michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Algeria na DRC.

Kutoka klabu ya Simba, wachezaji Aishi Manula, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Said Ndemla, Shiza Kichuya na John Bocco ndio walioitwa katika kikosi hicho.

"Unamuachaje Jonas Mkude?," Manara ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram

"Mwisho wa Siku sisi ni Watanzania..Hata kama si makocha lakini Soka huchezwa hadharani. Najiuliza tena na tena kwa viungo tulionao ni kweli Jonas Mkude hastahili kuitwa kwenye timu hii"?

"Kwa sasa hakuna ubishi Jonas ndio holding midfielder best nchini. Ni kumkosea heshima.."
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’