Bodi ya Ligi imewahakikishia mashabiki waliokata tiketi mchezo wa awali wa watani wa jadi uliopaswa kupigwa May 08, kuwa wataweza kuingia kushuhudia mchezo utakaopigwa Julai 03 kwa kutumia kadi zao NCARD
Aidha Bodi imetangaza kuwa tiketi 13, 782 mdizo zitakazouzwa kwa mashabiki wapya kushuhudia mchezo huo
Tiketi hizo zitahusisha majukwaa ya Mzunguuko 7,000/-, Machunga 10,000/- na VIP B 20,000/-
Hakutakuwa na tiketi za VIP A na VIP C zitakazouzwa
ADVERTISE HERE