Kapombe anawasubiri Julai 03

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Jun 2021
Kapombe anawasubiri Julai 03

Unapozungumzia makali ya kikosi cha Simba hutakosa kuwataja walinzi wake wa pembeni Shomari Kapombe na Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr'

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes anajivunia kuwa na wachezaji hawa kwani wamekuwa na mchango mkubwa kwenye mafanikio ya Simba katika kipindi cha miaka mitatu

Kapombe amehusika katika mabao matano yaliyofungwa na Simba kwenye ligi msimu huu

Huyu ndiye mchezaji bora zaidi katika nafasi ya ulinzi wa kulia. Uwezo wake wa kupanda kusukuma mashambulizi unamfanya ajitofautishe na wachezaji wengine wanaocheza nafasi kama yake

Zaidi Kapombe ni mchezaji aliyekamilika. Anaweza kucheza nafasi zote za ulinzi lakini pia anaweza kutumika kama kiungo wa kuzuia au kushambulia

Ni mmoja wa wachezaji ambao siku ya Jumamosi watakiongoza kikosi cha Simba katika mchezo dhidi ya Yanga, mchezo ambao Simba inahitaji ushindi ili kutangaza ubingwa mbele ya watani zao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
37m ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
18h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’