Mugalu kuiwahi Yanga Julai 03

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Jun 2021
Mugalu kuiwahi Yanga Julai 03

Mshambuliaji Chris Mugalu raia wa DR Congo amepona majeraha yaliyokuwa yakimsumbua kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumamosi Julai 03 uwanja wa Benjamin Mkapa

Mugalu alikosa mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Azam Fc uliopigwa Songea juzi na Simba kushinda bao 1-0

Ushindi kwa Simba siku ya Jumamosi, utawahakikishia mabingwa hao wa nchi kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu huku wakiwa na mechi nne mkononi

Nyota huyo alipewa program maalum ya mazoezi ya gym ili kuhakikisha anapona kwa wakati

Mugalu ameifungia Simba mabao 10 kwenye ligi akishika nafasi ya nne katika vinara wa kuzifumania nyavu nyuma ya Meddie Kagere mwenye mabao 11

Kwa siku za karibuni, kocha mkuu wa Simba Didier Gomes amewatumia pamoja yeye pamoja na nahodha John Bocco ambaye ndiye kinara wa mabao VPL akiwa amefunga mabao 14 sawa na Prince Dube wa Azam Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’