Kikosi cha mabingwa wa nchi Simba kimerejea jijini Dar es salaam wakitokea mkoani Ruvuma ambapo jana walifanikiwa kutinga fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Ni baada ya kuichapa Azam Fc bao 1-0. Simba imerejea Dar kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa Julai 03 uwanja wa Benjamin Mkapa
ADVERTISE HERE