Mchezo dhidi ya Azam Fc yalikuwa mazoezi tu - Barbara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jun 2021
Mchezo dhidi ya Azam Fc yalikuwa mazoezi tu - Barbara

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez amesema aliamini Simba ingeibuka na ushindi katika mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Azam Fc

Mchezo huo uliopigwa uwanja wa Majimaji jana, uliishuhudia Simba ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 shukrani kwa kazi nzuri ya winga Bernard Morrison aliyemtengenezea Luis Miquissone nafasi ya kufunga

Barbara amesema mchezo huo ulikuwa kama mazoezi tu kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga utakaopigwa Julai 03 uwanja wa Benjamin Mkapa

"Sisi tulifahamu mapema nafasi yetu ya kushinda ilikuwa kubwa kutokana na ubora wa kikosi chetu. Tuliuchukulia mchezo kama sehemu ya mazoezi kuelekea mchezo dhidi ya Yanga Julai 03," alisema Barbara

Simba inahitaji ushindi dhidi ya Yanga Julai 03 ili kutwaa ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’