Happy BirthDay Beno Kakolanya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jun 2021
Happy BirthDay Beno Kakolanya

Leo ni kumbukumbu ya tarehe ya kuzaliwa mlinda lango wa Simba Beno Kakolanya

Ni msimu wake wa pili akiwa na mabingwa wa nchi. Pamoja na kutokuwa na nafasi ya kuanza mara kwa mara, ametimiza wajibu wake kila alipoipata nafasi hiyo

Ni hivi karibuni mlinda lango huyo aliongeza mkataba wa kuendelea kubaki Msimbazi

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu

HAPPY BIRTHDAY BENO...

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’