Mashabiki wa Simba wamejitokeza kwa wingi kuujaza uwanja wa Majimaji ambao saa tisa na nusu mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam kati ya Simba dhidi ya Azam Fc utapigwa
Baadhi ya mashabiki wamesafirin kutoka nchi jirani Malawi na Msumbiji kushuhudia mtanange huo wa kukata na shoka


ADVERTISE HERE