Ni nusu fainali FA, Simba vs Azam Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jun 2021
Ni nusu fainali FA, Simba vs Azam Fc

Machampioni wa soka Tanzania Simba wako mkoani Ruvuma ambapo jioini ya leo watashuka uwanja wa Majimaji kuwakabili Wanaramba ramba Azam Fc

Ni mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) utakaounguruma kuanzia saa tisa na nusu Alasiri

Simba ndio mabingwa watetezi wa michuano hii, wamepania kutetea ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo

Aidha Mnyama anafahamu ushindi utakwenda kumkutanisha na mtani wake Yanga kwenye mchezo wa fainali, hakuna kitu Wanasimba wanasubiri kama mchezo dhidi ya watani

Baada ya mazoezi ya mwisho jana, kocha msaidizi wa Simba Selemani Matola alisema vijana wake wote wako tayari kwa mchezo huo

Simba watamkosa mshambuliaji Chris Mugalu aliyebaki jijini Dar es salaam akiuguza majeraha

Kila la kheri Simba, kila la kheri mabingwa watetezi..

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’