Tuko tayari kuikabili Azam Fc - Gomes

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jun 2021
Tuko tayari kuikabili Azam Fc - Gomes

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amesema vijana wake wako tayari kwa mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Majimaji Songea.

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari kuelekea mchezo huo, Gomes amesema malengo ya Simba msimu huu ni kushinda makombe yote

Pamoja na ubora wa Azam Fc, Gomes amesisitiza kuwa wanahitaji kushinda ili kuweza kutinga fainali

"Utakuwa ni mchezo mgumu lakini tunataka kushinda makombe yote la Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho. Tunawaheshimu sababu tunajua vizuri sana uwezo lakini tumejipanga vizuri sana kufika fainali," alisema Gomes

Aidha nahodha wa Simba John Bocco amesema wanawaheshimu Azam Fc lakini wako tayari kukabiliana nao katika mchezo huo wa kukata na shoka

"Tunaenda kukutana na timu nzuri, tunawaheshimu kwa hilo lakini tumejipanga vizuri na Mungu atatusaidia kupata matokeo mazuri na kufuzu fainali"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’