Mabingwa wa nchi Simba leo wameingia siku ya pili ya mazoezi ya maandalizi ya kuikabili Azam Fc katika mchezo wa nusu fainali kombe la FA
Simba inajiweka sawa tayari kwa mchezo huo utakaopigwa keshokutwa Jumamosi, kunako dimba la Majimaji
Ni maandalizi ya vita ya Majimaji...!









ADVERTISE HERE