Malengo yetu ni kushinda ubingwa wa FA - Kapombe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jun 2021
Malengo yetu ni kushinda ubingwa wa FA - Kapombe

Mlinzi bora wa kulia Simba na timu ya Taifa, Shomari Kapombe amesema wachezaji wamedhamiria kushinda mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi Azam Fc ambao utapigwa keshokutwa Jumamosi, uwanja wa Majimaji

Kapombe aliyewahi kuitumikia Azam Fc kwa mafanikio kabla ya kusajiliwa na Simba miaka minne iliyopita, amesema hawatawadharau Azam Fc kwani sio timu mbaya

"Tumejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali dhidi ya Azam. Tunafahamu mchezo huo hautakuwa mwepesi kwani Azam Fc ni timu nzuri. Lakini Simba ni timu kubwa na ina wachezaji wazuri zaidi"

"Tunajiandaa kikamilifu kuweza kushinda mchezo huo. Sisi malengo yetu ni kuingia fainali na kutetea ubingwa wa FA. Wachezaji tuko tayari na tunaomba Mungu atusaidie tuweze kufanikiwa," alisema Kapombe

Huu utakuwa mchezo wa pili kuzikutanisha Simba na Azam Fc msimu huu

Mchezo wa kwanza ulikuwa wa ligi kuu ambao ulipigwa uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 2-2

Simba imekuwa katika kiwango bora akishinda michezo tisa mfululizo katika mashindano yote

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’