Morrison haishiwi vituko..!

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jun 2021
Morrison haishiwi vituko..!

Kiungo mshambuliaji wa Simba Bernard Morrison ni mmoja wa wachezaji waungwana na wacheshi sana

Nje ya kazi yake ya kuwapa burudani mashabiki wa Simba, Morrison ni mchezaji anayependa kufurahi yeye pamoja na watu wanaomzunguuka

Ni mchezaji anayecheka na kila mtu kambini, yeye anaweza kutaniana na kila mchezaji, viongozi na hata mabosi wake wa benchi la ufundi

Juzi alipofanyiwa mabadiliko kwenye mchezo dhidi ya Mbeya City, Morrison alifanya kituko ambapo alikwenda kukaa kwenye benchi la wachezaji wa Mbeya City kabla ya kuondoka kuelekea waliko wachezaji wenzake wa Simba

Tukio hilo liliwachekesha wengi wakiwemo nyota wa Mbeya City ambao walisahau kipigo cha mabao 4-1 kwa muda na kufurahi

Morrison ni mchezaji wa aina yake, anayafanya maisha kuwa rahisi awapo dimbani na hata nje ya uwanja..!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
34m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’