Ilanfya kuuzwa moja kwa moja KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jun 2021
Ilanfya kuuzwa moja kwa moja KMC

Klabu ya KMC huenda ikambeba moja kwa moja mshambuliaji wa Simba Charles Ilanfya anayeichezea timu hiyo kwa mkopo, imefahamika

Ilanfya alisajiliwa na Simba msimu uliopita akitokea hapohapo KMC lakini alishindwa kupenya kwenye kikosi cha kwanza 

Nahodha John Bocco, Chris Mugalu na Meddie Kagere walimnyima kabisa nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza

Kocha Didier Gomes hajavutiwa na mshambuliaji huyo na hatarajiwa kumjumuisha kwenye kikosi chake cha msimu ujao

Usajili wake ulipendekezwa na kocha Sven Vandenbroeck ambaye aliondoka Simba mwishoni mwa 2020 akielekea nchini Morocco kujiunga na FAR Rabbat

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’