Jinsi wachezaji Simba walivyogomea 'sub' ya Kichuya jana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Mar 2018
Jinsi wachezaji Simba walivyogomea 'sub' ya Kichuya jana
Wachezaji wa Simba jana waligomea mabadiliko yaliyokuwa yanafanywa na benchi la ufundi kutaka kumtoa Shiza Kichuya ili nafasi yake aingie Laudi Mavugo.

Wakati Simba wakiwa nyuma kwa goli 1-2 dhidi ya waarabu Al Masry, benchi la ufundi la wekundu wa Msimbazi lilitaka kumuingiza Mavugo ili aongeze nguvu kwenye safu ya ushambuliaji akishirikiana na Bocco pamoja na Okwi.

Kibao kilivyoonekana kikimuita nje Kichuya, haraka wachezaji wa Simba walikimbia na kumzuia Kichuya asitoke nje ya uwanja kisha walionekana wakijadili jambo na kocha wao msaidizi Masoud Djuma.



Baada ya muda mfupi kibao kikanyanyuka tena na safari hii aliyekuwa anakwenda benchi alikuwa ni John Bocco kumpisha Mavugo.

Badika chache baadaye Simba wakafunga goli la kusawazisha kwa mkwaju wa penati ulipigwa na Emanuel Okwi na kufanya matokeo ya mchezo huo kuwa 2-2.

Shaffih Dauda
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’