Simba imefanya mazoezi yake ya kwanza mkoani Ruvuma kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Azam Fc
Mabingwa hao watetezi walitua Songea mchana wa leo na kupokewa na umati mkubwa wa mashabiki
Mchezo utapigwa Jumamosi, uwanja wa Majimaji









ADVERTISE HERE