TFF imetangaza viingilio vya mchezo Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup kati ya Azam Fc dhidi ya Simba
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Juni 26, uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma
Tiketi zinapatikana kupitia mfumo wa N-Card ambapo vituo kwa ajili ya kujipatia tiketi hizo vimetangazwa
Kama walivyojitokeza kwa wingi kuipokea timu yao, Wakazi wa Songea wameaswa kuchangamkia tiketi ili waujaze uwanja wa Majimaji kushuhudia burudani kutoka kwa mabingwa wa nchi
Ni takribani misimu minne Songea hawajaishuhudia Simba tangu timu ya Majimaji iliposhuka daraja
Sasa wameletewa Burudani nyumbani.....!
ADVERTISE HERE