Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania, Simba Sc kiliondoka mapema leo jijini Dar es salaam kuelekea Songea
Jumamosi Simba itakuwa na kibarua cha mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Azam Fc




ADVERTISE HERE