Ni msimu wa historia kwa Luis Miquissone

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Jun 2021
Ni msimu wa historia kwa Luis Miquissone

Naamini jina lake litakuwa miongoni mwa wachezaji yatakayoteuliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu na ndani ya klabu ya Simba msimu huu

Hapa tunamzungumzia kiungo mshambuliaji Luis Miquissone ambaye takwimu zake zinampa sababu ya kuwa mchezaji anayesakwa zaidi na klabu nyingi

Simba ina ofa kadhaa mezani kutoka kwa vigogo wa soka barani Afrika wanaotaka huduma ya mmakonde huyu

Katika michezo 36 aliyoshiriki na Simba kwenye mashindano yote msimu huu, Miquissone amehusika katika mabao 28

Amefunga jumla ya mabao 13 na kutoa pasi 15 za mabao

Yeye pamoja na Clatous Chama 'Mwamba wa Lusaka' ndio wachezaji waliohusika katika mabao mengi zaidi kwa maana ya kufunga na kutoa pasi za mabao kwa pamoja

Kwa hakika Miquissone ameitendea haki jezi yake ya Simba. Mwaka wake mmoja na nusu umekuwa wa mafanikio makubwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’