Sita Simba waitwa kikosi cha Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Mar 2018
Sita Simba waitwa kikosi cha Stars
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Salum Mayanga, ametaja majina 23 ya wachezaji walioitwa kujiunga na kikosi hicho kwa ajili ya kujiwinda na michezo ya kirafiki dhidi ya Algeria na Jamhuru ya Kidemokrasia ya Congo.

Stars itacheza michezo hiyo ya kirafiki ambayo ni kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, ambapo Machi 22 watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Algeria na Machi 27 watakuwa na kibarua dhidi ya Congo hapa nchini.

Miongoni mwa wachezaji hao walioitwa wamo, Aishi Manula, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Said Ndemla, Shiza Kichuya na John Bocco kutoka kikosi cha Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’