Siku 15 Kigoma mpaka Dar kwa mguu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jun 2021
Siku 15 Kigoma mpaka Dar kwa mguu

Shabiki wa klabu ya Simba kutoka mkoani Kigoma Michael Filbert aliyetembea kwa miguu mpaka jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa watani wa jadi utakaopigwa Julai 3, amewasili mapema leo

Michael ametumia siku 15 hadi kufika Dar ambapo amepokewa na kundi la Simba Ushirikiano kutoka Kigogo huku Kaimu Mkurugenzi wa Wanachama, Hamisi Kisiwa nae akihudhuria tukio la mapokezi ya shabiki huyo

Michael ameivunja rekodi ya shabiki wa Yanga Mansour ambaye alitumia siku 22 kutembea kwa mguu kutoka Kigoma mpaka jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’