Kiungo fundi Clatous Chama 'Mwamba wa Lusaka' amerejea nchini na moja kwa moja kuingia kambini kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa kesho Jumanne uwanja wa Benjamin Mkapa
Hivi karibuni Chama alipata msiba wa kufiwa na mkewe huko Zambia
Hii ni habari njema kwa Wanasimba waliokuwa wakimuombea nyota huyo aweze kurejea na kuendelea na majukumu yake baada ya msiba huo mkubwa aliopata
ADVERTISE HERE