Mafanikio iliyopata Simba kwa kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu huu, yamekuwa na manufaa kwa Tanzania baada ya kupata nafasi nne za ushiriki katika michuano ya CAF msimu ujao
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa Tanzania itakuwa na timu nne, mbili ligi ya mabingwa na mbili kombe la Shirikisho
'Uto' washukuru sana hii mbeleko, bila ya hivyo wangeendelea kupokea wageni tu

ADVERTISE HERE