Mbeya City mikononi mwa 'Mnyama' Jumanne

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jun 2021
Mbeya City mikononi mwa 'Mnyama' Jumanne

Baada ya mapumziko ya siku moja, mabingwa wa nchi Simba leo wanaendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City

Kesho Jumanne, Simba inaendelea na kampeni ya kusaka ubingwa wa nne mfululizo pale uwanja wa Benjamin Mkapa

Ni mwendo wa vipigo kwa wapinzani, Mbeya City wanapaswa kujiandaa kisaikolojia!

Mnyama anahitaji alama sita tu kuweza kuhifadhi taji lake, alama tatu wanazo wao

Habari njema ni kuwa inawezekana kabisa Simba atashangilia ubingwa Julai 03 pale kwa Mkapa

Kwani alama nyingine tatu wanazo Yanga...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
17h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
20h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’