FT : Polisi Tanzania 0-1 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jun 2021
FT : Polisi Tanzania 0-1 Simba

Mabingwa wa nchi Simba wameendelea kuukaribia ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo baada ya kuichapa Polisi Tanzania bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba

Bao la Luis Miquissone alilofunga kwenye dakika ya 28 kupitia mpira wa adhabu, lilitosha kuipatia Simba alama tatu muhimu

Simba ilitawala kipindi cha kwanza huku Polisi Tanzania wakiimarika kwenye kipindi cha pili

Ni ushindi unaoifanya Simba ifikishe alama 70 baada ya kushuka dimbani mara 28

Ushindi katika michezo mingine miwili utatosha kuipa Simba ubingwa wa nne mfululizo

Mchezo unaofuata ni dhidi ya Mbeya City na utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Juni 22

Baadae mabingwa watasafiri kuelekea mkaoni Ruvuma wanakokabiliwa na mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Azam Fc utakaopigwa Juni 26, Songea

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’