Simba U20 yasaka nafasi ya tatu Ligi Kuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jun 2021
Simba U20 yasaka nafasi ya tatu Ligi Kuu

Jioni ya leo Jumamosi, Simba U20 watashuka uwanja wa Azam Complex kuikabili Azam Fc U20 katika mchezo wa kusaka nafasi ya tatu ligi kuu ya Vijana

Simba iliondoshwa na Mtibwa Sugar kwenye hatua ya nusu fainali kwa kufungwa mabao 3-1 wakati Azam Fc waliondolewa na Yanga hatua ya nusu kwa mikwaju ya penati 6-5

Ligi Kuu ya Vijana inafikia tamati leo kwa mchezo wa fainali kupigwa baadae leo

Mchezo huo utazikutanisha Mtibwa Sugar na Yanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’