Simba kamili kuikabili Polisi Tanzania leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jun 2021
Simba kamili kuikabili Polisi Tanzania leo

Msako wa ubingwa wa nne mfululizo unaendelea uwanja wa CCM Kirumba leo kwa Machampioni wa nchi Simba kuwakabili Polisi Tanzania

Vijana wa Didier Gomes wanafukuzia rekodi, wanafahamu ushindi dhidi ya Polisi Tanzania, utawasogeza karibu na ubingwa

Hesabu ziko hivi; pointi tisa ndizo ambazo Simba anahitaji kumaliza kazi ya ligi kuu msimu huu

Hakuna mwenye mashaka juu ya kupatikana alama tatu pale CCM Kirumba, pamoja na kuwa mchezo hautakuwa mwepesi

Mara nyingi Polisi Tanzania wanapokutana na Simba wanakuwa wagumu, lakini mwisho wa siku timu bora itaondoka na alama tatu

Kocha Msaidizi Selemani Matola jana aliwaambia Wanahabari kuwa kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo ambao utaunguruma kuanzia saa kumi kamili jioni

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’