Happy BirthDay Chikwende

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jun 2021
Happy BirthDay Chikwende

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Simba Perfect Chikwende

Chikwende alijiunga na mabingwa wa nchi katika usajili wa dirisha dogo akichukua nafasi ya Francis Kahata kuitumikia Simba mashindano ya ndani

Chikwende hakuweza kutumika kwenye ligi ya mabingwa kwa sababu aliitumikia Fc Platinum kwenye michuano hiyo

Inawezekana bado Wanasimba hawajakipata kile walichokitarajia kutoka kwake

Hata hivyo bado ni mapema sana, ushindani wa namba umemfanya awe na nafasi finyu kwenye kikosi cha kwanza

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake

HAPPY BIRTHDAY CHIKWENDE..

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’