Shoo ya Bocco, Mugalu inarejea CCM Kirumba Jumamosi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Jun 2021
Shoo ya Bocco, Mugalu inarejea CCM Kirumba Jumamosi

Nahodha wa Simba John Bocco kesho Jumamosi anatarajiwa kukiongoza kikosi cha mabingwa hao wa nchi kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza

Bocco mwenye mabao 13, atakuwa na nafasi ya kumfikia na pengine kumzidi mabao Prince Dube wa Azam Fc anayeongoza mbio za kuwania kiatu cha dhahabu akiwa na mabao 14

Bocco yuko katika kiwango bora sana akitengeneza pacha hatari na Mcongomani Chris Mugalu aliyeweka kambani mabao 10

Nyota hao waliiangamiza Ruvu Shooting katika mchezo uliopita Simba ikishinda mabao 3-0 hapo hapo CCM Kirumba

Ni wazi Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes anaweza kuanza na washambuliaji hao kesho pamoja na kuwa Meddie Kagere aliyefunga mabao 11, atakuwa na wakati wake

Simba inahitaji kushinda mchezo huo ili kusogea karibu zaidi ya ubingwa kwani mpaka sasa wanahitaji alama tisa kutangaza ubingwa wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’