Mvua kubwa iliyoanza kunyesha jioni hii jijini Dar es salaam, imepelekea kukatika kwa umeme kwenye uwanja wa Taifa hivyo kupelekea mchezo kusimama kwenye dakika ya 78.
Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Emanuel Okwi kuisawazishia Simba bao la pili kwa mkwaju wa penati.
Wakati umeme ukikatika matokeo yalikuwa ni 2-2, Simba ikiwa imetawala zaidi mchezo.
Aidha baadhi ya mashabiki walitumia mwanya wa umeme kukatika kuingia uwanjani.
Jeshi la Polisi lililazimika kufanya kazi ya ziada kuwadhibiti mashabiki hao

ADVERTISE HERE