Baada ya kutua mkoani Mwanza jana, mabingwa wa nchi Simba leo wameendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania
Mchezo utapigwa keshokutwa Jumamosi katika uwanja wa CCM Kirumba

ADVERTISE HERE