Simba U20 dhidi ya Mtibwa Sugar nusu fainali leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jun 2021
Simba U20 dhidi ya Mtibwa Sugar nusu fainali leo

Kikosi cha vijana cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba U20 leo kitashuka uwanja wa Azam Complex kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa nusu fainali ligi kuu ya Vijana

Baada ya kufanikiwa kuingia hatua hiyo kwa kumaliza katika nafasi ya pili kundi A wakishinda michezo miwili na kutoka sare mchezo mmoja, hii ni nafasi kwa vijana wa Simba kusaka tiketi ya kwenda fainali kwa kupata ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ni mabingwa watetezi wa michuano hiyo

Mchezo huo utakaopigwa saa kumi na nusu jioni, utatanguliwa na mchezo wa kwanza wa nusu fainali kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc utakaopigwa saa nane mchana

Simba imedhamiria kushinda makombe yote ambayo timu zake zinashiriki msimu huu

Simba Queens wametwaa ubingwa wa ligi ya wanawake kwa msimu wa pili mfululizo, Simba Sc inaelekea kuhifadhi taji la Tanzania Bara kwa msimu wa nne mfululizo, Simba U20 leo wanahitaji kwenda fainali

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’