Vinara wa ligi kuu ya Vodacom, Simba leo watashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Al Masry katika mchezo wa kwanza wa kombe la Shirikisho, mzunguuko wa kwanza.
Tayari benchi la Ufundi limeweka hadharani kikosi cha Simba kinachoanza kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuanza saa 12 jioni.
Nahodha John Bocco amerejea kikosini kwa mara ya kwanza baada ya kukosa takribani michezo mitatu kutokana na majeruhi
Hiki hapa Kikosi

ADVERTISE HERE