Simba inashuka dimbani kesho Jumapili kucheza mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa sita dhidi ya Mtibwa Sugar.
Leo asubuhi wamefanya mazoezi ya mwisho katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es salaam.
Simba inaongoza ligi ikiwa na alama 11 sawa na Mtibwa na Azam FC lakini Simba imefunga mabao mengi zaidi.

ADVERTISE HERE