Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kimekwea pipa kuelekea jijini Mwanza wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Juni 19 katika uwanja wa CCm Kirumba



ADVERTISE HERE