Simba kuifuata Polisi Tanzania Mwanza

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jun 2021
Simba kuifuata Polisi Tanzania Mwanza

Msafara wa kikosi cha Simba unatarajiwa kuelekea jijini Mwanza wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania

Mchezo huo utapigwa Jumamosi,Juni 19 katika uwanja wa CCM Kirumba

Hii ni mara ya pili Simba inarejea Mwanza mwezi huu kucheza mchezo wa ligi kuu

Juni 03 walishuka katika uwanja huo na kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting

Polisi Tanzania wamehamisha mchezo huo mkoani Mwanza kutoka katika uwanja wao wa Ushirika,Moshi

Msimu huu kila timu ya ligi kuu imeruhusiwa kucheza mechi moja nje ya uwanja wake rasmi

Wekundu wa Msimbazi wanahitaji angalau alama tisa kuweza kurejesha ubingwa Msimbazi kwa msimu wa nne mfululizo

Ushindi katika mchezo huu utawasogeza karibu zaidi na ubingwa wa nne

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’