Wagombea waliopita TFF kujulikana leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jun 2021
Wagombea waliopita TFF kujulikana leo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo linatarajiwa kuweka hadharani majina ya Wagombea waliopitishwa kuwania nafasi za uongozi katika uchaguzi utakaofanyika mkoani Tanga,August 07 2021

Saa sita mchana TFF itakuwa na Mkutano na Wanahabari kubainisha wagombea waliopitishwa kuwania nafasi ya Urais na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji baada ya mchujo kulingana na kanuni za uchaguzi huo

Tayari Mwanahabari na mchambuzi wa soka nchini Oscar Oscar na Ally Saleh kutoka visiwani Zanzibar wamethibitisha kuenguliwa katika kinyn'ganyiro cha kuwania nafasi ya Urais

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’